Nawaomba samahani Sana kwa kuwa kimya japo wengi wenu nilikua miongoni wa furaha zao , Mdogo wenu ni mengi nilipitia na kupiga konde maumivu makali ya huku na kule , nimejifunza mengi na naendelea kujifunza 🥹. Nimerudi upya na mtindo ni mmoja banger after banger 🔥🎉 #emotional #backagain #strong #newhope #lamutiktokers #m_large