Wapenzi, hii recipe ukiandaa samaki wanafaa sana kufinyia ugali ๐๐ yaani utamu guaranteed ๐๐ฝ na mboga ya majani pembeni uipendayo. Kupata Mamasita Oyster sauce, ๐ DAR-ES-SALAAM Unapata supermarkets zaย Shoppers, Jambo, Maisha, Viva, Poa, kwa uhakika lakini supermarkets nyingine pia zipo, masoko makubwa yote unazipata kwa wauzaji wa vibanda. ๐ MWANZA Unapata supermarkets zaย Nono , U-turn , Protas ( samaki round about & rufiji street ),ย Lavena supermarket pamoja na soko kuu zinauzwa kwenye vibanda vingi tu. ๐ ARUSHA & MOSHI Supermarkets za Panone, shoppers,Sokoni Arusha pia zipo. ๐ Kwa dodoma, shoppers supermarket unazipata. ๐ Kwa morogoro zinauzwa sokoni. Mamasita Oyser Sauce zinapatikana supermarkets karibia nchi zima.