info
Replying to @tassybae23 Assalam Alaykum warahmah, Ndugu zangu katika imani, Natumai mko vyega Baada ya kimya kirefu leo tujifunze kitu kidogo lakini chenye Faida. TIBA YA KUONDOA MiKOSI, NUKSi, KUPENDWA, NA KILA ANAYEKUONA. MAHITAJI 1)Majani y'a mchaichai 1)Chumvi y'a mawe Chukua Mchaichai weka kwenye sufuria weka na Maji chemsha, ukimaliza weka katika Maji ya kuoga Changanya na chumvi ya mawe nenda kaogee bila sabuni yaani dry ogea Asubuhi na jioni Kwa siku 3 ,Hata kama ulikuwa hutongozwi ukitumia hii kila utaepishana nae atakutongoza, pia waweza tumia hii kupigia deki Nyumbani huondoa Mikosi, Nuksi, na mabalaa na wale kina Mama na kina Dada waliokwenye ndoa tumieni Tiba hii kuogea kurudisha Mapenzi yaliokufa kwa Mumeo,kama unaona Mumeo hakusikilizi anakudharau ogea hii atakupenda na kukujali na kukusikiliza.
Duration: 59 sPosted : Fri, 12 Apr 2024 11:26:26Views
48.7KDaily-
Likes
884Daily-
Comments
16Daily-
Shares
184Daily-
ER
2.23%Daily-
Latest