Seamoss kutoka @everfarm_tz hutumika Kama Lishe, unaweza kula kama ilivyo au ukachanganya na juice, maji ya uvuguvugu, mtori, soup, maziwa...... Baadhi ya faida zake; 🍀 Husaidia afya ya Moyo, Ini na koo 🍀Husaidia atya ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke 🍀 Husaidia Mmeng'enyo mzuri wa chakula(watoto na watu wazima) 🍀 Huboresha kinga ya mwili 🍀Huupa mwili nguvu Husaidia afya ya mifupa na mengine mengi. Inatumika na watu wa Rika zote, kama familia nawashauri kutumia seamoss lishe. #seamoss #seamosspowder #mwani #everfarm #superfood