info

Chips Pizza πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ #foodlovers#recipe#cooking#mapishi#tiktokchef#yummy#easyrecipe#chips#pizza#eastafrica#africanfood#pizzalover#sausage #quickrecipes#tiktokfoodoriginal sound

Duration: 60 sPosted : Fri, 10 Jun 2022 10:10:27

Views

3.2M

Daily-

Likes

107.5K

Daily-

Comments

512

Daily-

Shares

7.9K

Daily-

ER

3.62%

Daily-

Latest

7358021337417272582
Wapenzi, mnafahamu kua flavour za @foodlovers.tz ni utamu guaranteed πŸ‘ŒπŸ½. Hebu andaa hii juice hapo ndani mfurahie na uwapendao . Halafu chukua kitabu cha Juice Pro@Vyombo Centre upate uhakika wa juice nzuri kila siku. Kwa Dar, vitabu by Juice Pro mnavipata dukani kwa @haraka_spice_shop ( 0652-285950 au 0752-202038 )  Sinza Kamanyora kwa Tsh.40,000/= . Huduma ya delivery pia ipo unaagiza na spices zako za chakula kitamu. Kanda ya ziwa, wasiliana nami 0717-717836 πŸ“Slow juicer Original na Vyombo vizurii  mnavipata @vyombo_centre popote ulipo unatumiwa kwa uaminifu @vyombo_centre , nani na nje ya Tz, pamoja na vyombo vingine vyootevya jikoni.
158.1K
4.2K
90
6890083580459402246
foodlovers.tz
11 months_ago
7357280130227653893
Wapenzi, kama hukua unazingaatia point namba 3 hakikisha unaanza leo kutilia maanani. @covenantcosmetics Kupata ushauri wa ngozi na tips zaidi za vipodozi fika kesha kwa @covenant_cosmetics kwenye uzinduzi wa branch yao mpya ya Sinza Mugabe yalipo mataa kuelekea mawasiliano @covenant_cosmetics. Usisahau kushare na umpendae aongeze maarifa Wewe kitu gani hua unazingatia zaidi?
72.9K
2.6K
41
6890083580459402246
foodlovers.tz
11 months_ago
7356123189061143813
Wapenzi, leo jiko liko πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ kama upo under 18 nisione comment yako hapo chini, hii content ya wakubwa TU. Umewahi kutumia hii au kimojawapo? Ulipata matokeo gani? #foodlovers #tips #hacks
390.2K
12.9K
162
6890083580459402246
foodlovers.tz
11 months_ago
7355428297372765446
Wapenzi, hii recipe ukiandaa samaki wanafaa sana kufinyia ugali πŸ˜€πŸ˜ yaani utamu guaranteed πŸ‘ŒπŸ½ na mboga ya majani pembeni uipendayo. Kupata Mamasita Oyster sauce, πŸ“Œ DAR-ES-SALAAM Unapata supermarkets za  Shoppers, Jambo, Maisha, Viva, Poa, kwa uhakika lakini supermarkets nyingine pia zipo, masoko makubwa yote unazipata kwa wauzaji wa vibanda. πŸ“Œ MWANZA Unapata supermarkets za  Nono , U-turn , Protas ( samaki round about & rufiji street ),  Lavena supermarket pamoja na soko kuu zinauzwa kwenye vibanda vingi tu. πŸ“Œ ARUSHA & MOSHI Supermarkets za Panone, shoppers,Sokoni Arusha pia zipo. πŸ“Œ Kwa dodoma, shoppers supermarket unazipata. πŸ“Œ Kwa morogoro zinauzwa sokoni. Mamasita Oyser Sauce zinapatikana supermarkets karibia nchi zima.
249.4K
7.1K
34
6890083580459402246
foodlovers.tz
11 months_ago