Wapenzi, hii recipe ukiandaa samaki wanafaa sana kufinyia ugali ππ yaani utamu guaranteed ππ½ na mboga ya majani pembeni uipendayo. Kupata Mamasita Oyster sauce, π DAR-ES-SALAAM Unapata supermarkets zaΒ Shoppers, Jambo, Maisha, Viva, Poa, kwa uhakika lakini supermarkets nyingine pia zipo, masoko makubwa yote unazipata kwa wauzaji wa vibanda. π MWANZA Unapata supermarkets zaΒ Nono , U-turn , Protas ( samaki round about & rufiji street ),Β Lavena supermarket pamoja na soko kuu zinauzwa kwenye vibanda vingi tu. π ARUSHA & MOSHI Supermarkets za Panone, shoppers,Sokoni Arusha pia zipo. π Kwa dodoma, shoppers supermarket unazipata. π Kwa morogoro zinauzwa sokoni. Mamasita Oyser Sauce zinapatikana supermarkets karibia nchi zima.